Nashukuru kwa ufafanuzi wako.yap unaweza kwenda daraja c1, c2 na c3 tu ila sio C. ila lazima uende veta ukachukue kozi ya PSV na lazima leseni yako isiwe chini ya miaka mitatu.
Nashkuru kwa ufafanuzi mzuri.Utaratibu ni kwamba lazma lesen yako iwe imefikisha miaka mitatu na kuendelea ndo unaweza ukasoma course ya PSV ambayo ni course ya kuendesha magari yote ya abiria likiwemo basi kubwa,,,ambapo unapata daraja c,c1,c2,,,na miaka nayo ni kigezo unatkiwa uwe na umri wa miaka kuanzia 30,,,, pia kuna course ya VIP,,ambayo ukiisoma utapata leseni kuanzia daraja c1, C2 ,ambayo utaendesha magar ya abiria kuanzia costa kushuka chini au hiace,, ..... JAPO KAMA MFUKO WAKO UNASOMA BAADH YA VIGEZO VITAWEZA KULEGEZWA NA UKAPATA HYO LESEN
Nashukuru kwa ufafanuzi wako.
Naomba kufahamu hawa madereva wanaoendesha viongozi wa serikali au sector binafsi wanachukuliwa zaidi madaraja gani?
Utaratibu ni kwamba lazma lesen yako iwe imefikisha miaka mitatu na kuendelea ndo unaweza ukasoma course ya PSV ambayo ni course ya kuendesha magari yote ya abiria likiwemo basi kubwa,,,ambapo unapata daraja c,c1,c2,,,na miaka nayo ni kigezo unatkiwa uwe na umri wa miaka kuanzia 30,,,, pia kuna course ya VIP,,ambayo ukiisoma utapata leseni kuanzia daraja c1, C2 ,ambayo utaendesha magar ya abiria kuanzia costa kushuka chini au hiace,, ..... JAPO KAMA MFUKO WAKO UNASOMA BAADH YA VIGEZO VITAWEZA KULEGEZWA NA UKAPATA HYO LESEN
Hizi kila moja nikiipa interval ya 3years mpaka niikute VIP kazi ipo kweli.hawezi kupata C wakati ana D, ili apate C lazima awe na E, C1, C2, ama C3. na awe na cheti cha PSV. kusoma VIP ni hadi uwe na class C make hiyo inahusu kuendesha viongozi
Kuna mdau amenitumia kutoka chuo flani cha udereva.
View attachment 446928View attachment 446929View attachment 446930