Msaada: Mafuta ya kufanya uwe soft

jun255

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
391
Reaction score
280
Jamani nina mpenzi wangu anasumbuliwa na chunusi (sio nyingi but kwa sababu anazitumbua zinaharibu reception kwa kuacha madoa meusi)

Nahitaji mafuta/sabuni au kitu cha kutumia kitakachomsaidia uso wake urudi kuwa soft.But sihitaj cream au mkorogo wa aina yoyote! Yeye tayari ana weupe asili kwahiyo sihitaji ushaur wa vitaulo wala maji ya Ray.
 
hivi huyo dem wako kakwambia usimtafte bila kumpatia hizo dawa?maana naona umelivamia jukwaa kwa fujo kweli. na mihemko ya ajabu hakuna hata salam sujui ww ni binadam wa nch gani !
mimi hapa sina ushaur subir kinadada wanakuja.

angalizo angalia kesho asikutume uje uuize peds zipi nzur zisizoleta fangasi na zinazoweza kumuacha mpenzio mkavu.
 
We mchawi unanitafuta eeeh? Sasa me mchawi zaid yako na angalia ndani ya siku mbili lazima nikuahushe busha
 
Acha utoto wewe dogo
 
PEARS, sabuni kiboko hii.... Balaa, oga maliza paka uso kisha lala usiku . asubi oga mpaka tena... Yani kwa ufupi hii sabuni ndio iwe mafuta yake ya uso... Utarudi hapa kuniambia majibu.. bei 3000 adi 45000 kwenye super markets.
 
Huyo alotoa dawa ya shahawa nahisi kakosea dawa ni kutafuna mavi yaliyo lala mda wa wiki mbili ila mavi yenyewe yawe malain kidogo kisha akinawa USO anawe mkojo wa jilani yako Kwisha matatizo
 
Sabuni hii hapa inatoa chunusi zote

Nichek 0714547830 nakuletea popote dar kwa tsh 10000 tu
 
Atumie sabuni ya carambola na mafuta yanaitwa ingrams comphor cream yapo kwenye kopo la kijani.
 
Mim naulizia mafuta yapi mazuri yanayoweza kutoa madoa madoa meusi kwenye mwili ambayo yalinitokea ukubwan niliumwa tete kuwanga ukubwan ni miaka mitano imeshapita ila baadhi ya madoa bado hayajapotea mwilin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…