Msaada: Mafuta ya kufanya uwe soft

Huyo alotoa dawa ya shahawa nahisi kakosea dawa ni kutafuna mavi yaliyo lala mda wa wiki mbili ila mavi yenyewe yawe malain kidogo kisha akinawa USO anawe mkojo wa jilani yako Kwisha matatizo
mmh!sio kwa jibu hili
 
Kwanza aache kutumbutumbua hayo machunusi ndio zinazoweka alama, itatutumbuka zenyewe zikiiva. Pili aangalie vyakula kama jamii ya karanga, mayai etc yanazidi chunusi, hormone imbalance.

la mwisho atumie sabuni asili kama Dudu Osan, Papaya soap zipo za aina nyingi mno.
 
Nimehisi Mauzauza mkuu.
 
kuna Mafuta flani ivi yanazalishwa na kampuni ya Uganda, yanaitwa SAMONA,
ni mazuri sana! Yaani alafu yapo yawakubwa na watoto,

kuna mtoto wa dada yangu alikuwa anatatizo la ngozi kupauka na kufubaa, yaani ilikuwa inajikunja kabisa, basi alipoyanunua na kumpaka siku kadhaa ngozi yake ilirudi ubora wa mara mbili zaidi ya mwanzo... hOPE ITAKUSAIDIA NAWEWE
 
akipata bio oil original itamsaidia sana, iwe original na mjini fake nyingi sana.
 
Mim naulizia mafuta yapi mazuri yanayoweza kutoa madoa madoa meusi kwenye mwili ambayo yalinitokea ukubwan niliumwa tete kuwanga ukubwan ni miaka mitano imeshapita ila baadhi ya madoa bado hayajapotea mwilin.
Kuna lotion ya Haney and milk hutowa makovu ila ukiwa unatumia na scrub yake set ni 66000/- ni bonge la urembo
 
tumia sabuni ya pyar
au zoa zoa
nawia usoni
usipake mavitu ya mafuta mafuta
nawia zoa zoa manjano sabuni
paka zoa zoa lotion
 
Kuna optimals hinatowa madowa na kukuacha mcharo ila kama chunusi zinamsumbua sana kuna pure skin utowa chunusi na madowa yote na kukausha mafuta usoni ila ukitumia set nzima ndo utajikubali mwenyewe

0653482355
 
Jamani ni shauli msipende kununua mavitu na kupaka ovyo bila kupima ngozi yako au kujua ni aina gani ya ngozi uliyonayo
Nilikuwa na tatizo la chunusi bahada ya kupata mkombozi wangu wa ngozi Oriflame imenifanya najisikia raha sinunui hvyo hvyo vitu
 
Mafuta ya nazi ndo mpango mzima ..
 
Kuna optimals hinatowa madowa na kukuacha mcharo ila kama chunusi zinamsumbua sana kuna pure skin utowa chunusi na madowa yote na kukausha mafuta usoni ila ukitumia set nzima ndo utajikubali mwenyewe

0653482355
Set bei gani
 
PEARS, sabuni kiboko hii.... Balaa, oga maliza paka uso kisha lala usiku . asubi oga mpaka tena... Yani kwa ufupi hii sabuni ndio iwe mafuta yake ya uso... Utarudi hapa kuniambia majibu.. bei 3000 adi 45000 kwenye super markets.
Nimetumia sana hamna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…