nakupa mrejesho:
Kwa kawaida bidhaa za mazao zinaenda kwa msimu, biashara ya arizeti nayo inaenda kwa msimu.
Mfano, kwa Singida mafuta ya arizeti yanaanza kutoka mwezi wa nne, na hapo bei huanza kupungua.
Mfano, mimi nilinunua mafuta mwaka jana mwezi wa 5-6 kwa bei kati ya 49000 hadi 50000 lkn unaweza kuona mwenyewe namna bei imeenda.
NAMNA YA UNUNUAJI
Ukitaka kupata faida nunua mafuta kijijini uyalete mini, bei inakua ndogo kias na ubora pia. huko utanunua kwa kilo yaani 18.5kg inapimwa kwa mzani.
NB: Epuka kununua wakati msimu unaelekea mwisho maana yatakutana na mafuta mapya na hapo utapata hasara.
Mwenye uhitaji wa ushauri au mzigo (japo sikushauri saiv kama ni ya biashara kwa sasa) 0763360344