Samahani mkuu nilikuwa natamani sana kama utakuwa na ufahamu hata wa bei , ili tunaotaka kwenda huko tukajipanga vzr , mfano kama utaweza kutuambia lita 20 kwa sasa ni shingapi katika hayo maeneo.Nenda Kibaigwa, au Dodoma mjini au Gineri Singida bei nzuri ukiwa na madumu yako.
Hayo maeneo wanakamua so unanunua kwa bei ya kiwandani.
Mkuu nimetoka huko mda kidogo siwezi jua bei ila hata ukienda Itigi pia wanauza bei nafuuSamahani mkuu nilikuwa natamani sana kama utakuwa na ufahamu hata wa bei , ili tunaotaka kwenda huko tukajipanga vzr , mfano kama utaweza kutuambia lita 20 kwa sasa ni shingapi katika hayo maeneo.
Kwa Sasa bei hata huku viwandani Singida sio rafiki imefikia hatua mafuta lita 5 ni 25 na tena yanatoka kwa Order.Nenda Kibaigwa, au Dodoma mjini au Gineri Singida bei nzuri ukiwa na madumu yako.
Hayo maeneo wanakamua so unanunua kwa bei ya kiwandani.
Bei sio rafiki sana kwa sasa hata ukiwa na dumu tho unapata na wenyeji wengi wa hapa singida wanadai mafuta mazuri yanapatikana SHELUI tho hata hapa singida unapata mazuri baadhi ya viwanda ila ukijichanganya unauziwa mixer.View attachment 1722795
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar.
Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada.
PM ipo wazi,
Mwezi wa tano naanza kukamua alizeti zangu, kama bado utakua upo interested tunaweza kufanya biashara though nipo mbeyaView attachment 1722795
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar.
Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada.
PM ipo wazi,
Asante kwa hbr nzuri nduguBei sio rafiki sana kwa sasa hata ukiwa na dumu tho unapata na wenyeji wengi wa hapa singida wanadai mafuta mazuri yanapatikana SHELUI tho hata hapa singida unapata mazuri baadhi ya viwanda ila ukijichanganya unauziwa mixer.
Nicheki #0675101467 ...View attachment 1722795
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar.
Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada.
PM ipo wazi,
Hv mafuta huwayaharibiki ukiifadhi muda mrefu ie miezi 12nakupa mrejesho:
Kwa kawaida bidhaa za mazao zinaenda kwa msimu, biashara ya arizeti nayo inaenda kwa msimu.
Mfano, kwa Singida mafuta ya arizeti yanaanza kutoka mwezi wa nne, na hapo bei huanza kupungua.
Mfano, mimi nilinunua mafuta mwaka jana mwezi wa 5-6 kwa bei kati ya 49000 hadi 50000 lkn unaweza kuona mwenyewe namna bei imeenda.
NAMNA YA UNUNUAJI
Ukitaka kupata faida nunua mafuta kijijini uyalete mini, bei inakua ndogo kias na ubora pia. huko utanunua kwa kilo yaani 18.5kg inapimwa kwa mzani.
NB: Epuka kununua wakati msimu unaelekea mwisho maana yatakutana na mafuta mapya na hapo utapata hasara.
Mwenye uhitaji wa ushauri au mzigo (japo sikushauri saiv kama ni ya biashara kwa sasa) 0763360344
Hata miaka 3, japo unaweza kupata hasara kwenye madumu kupasuka na mafuta Kuganda Chini ya dumu hivo kukufanya utoe mafuta Bora kidogoHv mafuta huwayaharibiki ukiifadhi muda mrefu ie miezi 12
Habari, nina kiwanda cha mafuta ya Alizeti kipo Shelui, mkoani Singida. Kama unauhitaji naomba tufanye kazi, nitafute kwa namba hii 0713131200 MsengiView attachment 1722795