Msaada magonjwa ya ng'ombe na njia kukinga

Msaada magonjwa ya ng'ombe na njia kukinga

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Nilikuwa nauliza anayejua aina za dawa za

- Kunywesha na sindano kwa ng'ombe

- Mwenye minyoo
Ambaye unampa kinga ya minyoo
Aina ya minyoo inayoshambulia ng'ombe
Majina ya dawa ikiwezekana na bei zake.
Dozi

Kwa ujumla magonjwa yanayoshambulia ng'ombe mara kwa mara.

Ahsante nawakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu wakati naanzisha huu uzi nilikuwa sijasoma kitabu flani.
Nimegundua ng'ombe ana magonjwa mengi mno mno mengine hata binadamu anayapata na mengine yanategemea na eneo na utunzaji wako
Magonjwa ya Mara kwa Mara inategemea na sehemu unayofungia na management yako pia.kwa sababu mnyama hazaliwi na magonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steven Nguma nimekutumia page ya pili ya kitabu.Nimeku pm halafu uende ofisi yeyote ya mifugo wanaweza kukupa maelezo kukipata.
Tungekuwa karibu ningekutolea photocopy kitabu kizima ni kizuri mno.kina kurasa 111
Mkuu tunaomba utushirikishe na sisi hicho kitabu na upatikanaji wake tafadhali. Nasisi tufaidike humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom