NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Magonjwa ya Mara kwa Mara inategemea na sehemu unayofungia na management yako pia.kwa sababu mnyama hazaliwi na magonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaomba utushirikishe na sisi hicho kitabu na upatikanaji wake tafadhali. Nasisi tufaidike humo.Ahsante mkuu wakati naanzisha huu uzi nilikuwa sijasoma kitabu flani.
Nimegundua ng'ombe ana magonjwa mengi mno mno mengine hata binadamu anayapata na mengine yanategemea na eneo na utunzaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu nitakupa infoMkuu tunaomba utushirikishe na sisi hicho kitabu na upatikanaji wake tafadhali. Nasisi tufaidike humo.
Mkuu tunaomba utushirikishe na sisi hicho kitabu na upatikanaji wake tafadhali. Nasisi tufaidike humo.