Wakubwa naomba msaada. Mke wangu uke wake unadischarge maji maji mazito kidogo ambayo hayana harufu.
Ana mimba ya miezi mitatu na nimekuwa kila nikikutana naye kimwili analalamika kuwashwa. Je kukutana naye kunaweza kumwathiri mtoto tumboni?
Tumejaribu sana kutumia dawa za vidonge na tube mbali mbali lakini havimsaidii kwa maana hii hali imedumu tangu amebeba mimba. Naomba msaada wenu wakuu.