Msaada: Mahabusu bila kupandishwa mahakamani hii imekaaje kisheria?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Habari za kazi wakuu, poleni na changamoto za kila siku.

Nahitaji msaada kuhusu hili:
Nina ndugu yangu yupo mahabusu SEGEREA ni mwaka wa pili sasa hajapandishwa mahakamani, je hii imekaaje kama segerea?, je hawajapeleka mahabusu mahakamani tokea 2019 au ni ndugu yangu tu?,. au kuna sheria ya baadhi ya makosa naomba kufahamishwa,.
 
Hicho kitu hakiwezekani sikumbuki ni Chapter wa verse ya Criminal prcedure Act ila kama mtuhumiwa yupo mahabusu ni siku 14 awe amepelekwa iwe kwenye kutajwa au kusikilizwa na kama yupo nje kwa dhamana hakimu ndo anaye panga
 
Inategemea kwani anatuhumiwa kwa kosa gani
 
Onana na Wakili mfanye utaratibu wa kuomba harbea corpus Mahakama kuu ili mamlaka zinazomshikilia zishurutishwe kumfikisha Mahakamani
 
Pole sana...

Ni wengi sana wanapitia hayo...
 
Makosa yote,huwezi ukawa unakaa tu gerezani bila kufikishwa mahakamani
Mwanzoni kabla ya 2019 alikua akipelekwa mahakani, baada ya hapo hakwenda tena mpaka hivi leo yupo tu kama mahabusu,.
nitajaribu fata ushauri wa kiongozi hapo juu kuomba hiyo harbea corpus
 
Una uhakika yupo kwanza? Dunia ina mengi hii
 
Back
Top Bottom