Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Habari za kazi wakuu, poleni na changamoto za kila siku.
Nahitaji msaada kuhusu hili:
Nina ndugu yangu yupo mahabusu SEGEREA ni mwaka wa pili sasa hajapandishwa mahakamani, je hii imekaaje kama segerea?, je hawajapeleka mahabusu mahakamani tokea 2019 au ni ndugu yangu tu?,. au kuna sheria ya baadhi ya makosa naomba kufahamishwa,.
Inategemea kwani anatuhumiwa kwa kosa ganiHicho kitu hakiwezekani sikumbuki ni Chapter wa verse ya Criminal prcedure Act ila kama mtuhumiwa yupo mahabusu ni siku 14 awe amepelekwa iwe kwenye kutajwa au kusikilizwa na kama yupo nje kwa dhamana hakimu ndo anaye panga
Inategemea kwani anatuhumiwa kwa kosa gani
Kiongozi duniani sheria. Haki mbinguni ukienda Central Police Dar kule shimoni wenye makosa ya Ngada wametulizwa zaidi ya mwaka bila kupelekwa kwa Pilato.Makosa yote,huwezi ukawa unakaa tu gerezani bila kufikishwa mahakamani
Bravo counselOnana na Wakili mfanye utaratibu wa kuomba harbea corpus Mahakama kuu ili mamlaka zinazomshikilia zishurutishwe kumfikisha Mahakamani
Mwanzoni kabla ya 2019 alikua akipelekwa mahakani, baada ya hapo hakwenda tena mpaka hivi leo yupo tu kama mahabusu,.Makosa yote,huwezi ukawa unakaa tu gerezani bila kufikishwa mahakamani
jinaiInategemea kwani anatuhumiwa kwa kosa gani
Una uhakika yupo kwanza? Dunia ina mengi hiiMwanzoni kabla ya 2019 alikua akipelekwa mahakani, baada ya hapo hakwenda tena mpaka hivi leo yupo tu kama mahabusu,.
nitajaribu fata ushauri wa kiongozi hapo juu kuomba hiyo harbea corpus