msaada;mahakama wilaya ya kinondoni

msaada;mahakama wilaya ya kinondoni

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
wakuu habari ya jioni,samahani naomba kuelekezwa ilipo mahakama ya wilaya ya kinondoni au mahakama yoyote inayofikika kwa urahisi tokea mwenge au ubungo,
aksante in advance.:help:
 
Panda gari ya Msasani shukia Kino B.. upande huohuo wa kushoto uliza, iko jirani na Kambangwa sec.School..
 
ukiwa ubungo panda mabasi yanayoenda msasani,mwambie konda atakusha hapo kinondoni b na ukiwa mwenge panda basi la kuelekea kko kupitia morroko ,mwambie konda atakushuka hapo kndoni b
 
aksante sana,na Gal street ada estate ni wapi?
 
...ADA ESTATE....inaanzia.....kona ya kwenda leaders club ukitokea makaburi ya kinondoni....mpaka...karibu na best bite....tho best bite.ipo block 41...
 
Back
Top Bottom