wakuu habari ya jioni,samahani naomba kuelekezwa ilipo mahakama ya wilaya ya kinondoni au mahakama yoyote inayofikika kwa urahisi tokea mwenge au ubungo,
aksante in advance.:help:
ukiwa ubungo panda mabasi yanayoenda msasani,mwambie konda atakusha hapo kinondoni b na ukiwa mwenge panda basi la kuelekea kko kupitia morroko ,mwambie konda atakushuka hapo kndoni b
...ADA ESTATE....inaanzia.....kona ya kwenda leaders club ukitokea makaburi ya kinondoni....mpaka...karibu na best bite....tho best bite.ipo block 41...