Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Salaam wadau!
Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila mche wastani wa kilo mbili kwa mvuno mmoja.
Naomba mwenye kujua jina lake anihabarishe kwani ninayapenda sana ila kinachonisumbua ni jina lake.
Natanguliza shukrani!