Msaada; Mahitaji ya Microfince

Msaada; Mahitaji ya Microfince

fukunyungu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
717
Reaction score
194
Habari za mchana huu wana jukwaa, poleni sana na mikikimikiki ya siasa, nahitaji mtu ambae anafaham microfince yoyote ile yenye masharti nafuu kidogo kwa mkopaji, ntashukuru sana kwa atakae nipa hzo taarifa, na awe na experince mfano kama kuna jamaa yake au yeye mwenyewe amewahi kukopa kwenye hiyo microfince.
 
Mkuu weng kwa mfanyabiashara wana vigezo vigumu tofaut na mtumish jarbu FINCA
 
Back
Top Bottom