Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Ahahaha hayo magonjwa yte makubwa yte Mzee usipofuata masharti tu hutoboi muda mrefu..ayo magonjwa yakuomba mungu ukutane nayo uzeeni tu ushamalza ya Dunia🤪Kweli , ila kisukari wengi wana haribu kwa kutofuata masharti sahihi
MkuuAhahaha hayo magonjwa yte makubwa yte Mzee usipofuata masharti tu hutoboi muda mrefu..ayo magonjwa yakuomba mungu ukutane nayo uzeeni tu ushamalza ya Dunia🤪
Najua mkuu,hakuna mtu anaeomba ugonjwa..namaanisha hayo magonjwa kukutana nayo ujanani unapoteza future mapema,unaweza Kuta mtu Hana mtoto then anakutana nayo... uzeeni fainal Kinga za mwili zishachoshwa ujanani na mapombe,mavyakula ya viwandan,hukwepi hayoMkuu
Hata sisi wazee hatuombi Mungu tukutane nayo!
Mkuu ninavyo juwa mimi Mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis awe kijana au Mzee hana maisha marefu safari ya kifo inamsubiri muda sio mrefu. Kwani hiyo dialysis inasaidia kwa muda figo lako lipate kufanya kazi lakini haiwezi kabisa kutibu kufeli kwa mafigo yako Dawa ninayo ya kuweza kumtibu mgonjwa aliye feli mafigo yake na akapona kabisa ukihitaji nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako na atapona kabisa kwa uwezo wake Mungu.Je, mgonjwa wa figo ambaye zimesha haribika na yuko kwenye dialysis huwa maisha yake yakoje? haswa mgonjwa aliye kijana na mwanaume. Je, huwa anaweza ishi maisha ya kawaida, yani kufanya mazoezi kwenda gym, kujenga misuli?
Je, kwenye msuala ya sex anakuwaje, anauwezo ule ule au unapungu
Asante sana , nit kutafuta kujua tuna msaidiaje ,sababu ndio kaingia kwnye vipimo , bado hatujajua kama ni anatakia kufanyiwa dyalisis ama la , ninashukuru sana .Mkuu ninavyo juwa mimi Mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis awe kijana au Mzee hana maisha marefu safari ya kifo inamsubiri muda sio mrefu. Kwani hiyo dialysis inasaidia kwa muda figo lako lipate kufanya kazi lakini haiwezi kabisa kutibu kufeli kwa mafigo yako Dawa ninayo ya kuweza kumtibu mgonjwa aliye feli mafigo yake na akapona kabisa ukihitaji nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako na atapona kabisa kwa uwezo wake Mungu.
Je kwenye masuala ya mapenzi dyalysisi ina athari nguvu za kiume?Maisha yake ni 50/50
Mkuu ninavyo juwa mimi Mgonjwa wa figo anayefanyiwa dialysis awe kijana au Mzee hana maisha marefu safari ya kifo inamsubiri muda sio mrefu. Kwani hiyo dialysis inasaidia kwa muda figo lako lipate kufanya kazi lakini haiwezi kabisa kutibu kufeli kwa mafigo yako Dawa ninayo ya kuweza kumtibu mgonjwa aliye feli mafigo yake na akapona kabisa ukihitaji nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako na atapona kabisa kwa uwezo wake Mungu.
Atakufa mapema...Je kwenye masuala ya mapenzi dyalysisi ina athari nguvu za kiume?
Yani akifanya mapenzi atakufa mapema au ni uamaanaisha nini? sorry kwa maswali msururuAtakufa mapema...
Hasimamishi tena huyo kama ni mwanaume, kama ni mwanamke, atakufa haraka...Yani akifanya mapenzi atakufa mapema au ni uamaanaisha nini? sorry kwa maswali msururu
Hii mbona priority ya kipumbavu sana. Hivi mtu anayepigania maisha yake nguvu za kiume zinakuwaje priority? Ushenzi mwingine ni wa kishenzi kweli. Hayo matibabu tu ni stress tosha za kumfanya mtu ngono isiwe kipaumbele.Je kwenye masuala ya mapenzi dyalysisi ina athari nguvu za kiume?
duh, mgojwa anaogopa dyalisi ana hizi naweza nguvu za kiume zikafa, hajafikia stage hiyo ila an ahofu sana, sijui kwa sasa kama an aimamisha maana kumuuliza na shinwa ila ana hofu akifikia stage huyo na ni kijana wa miaka 25Hasimamishi tena huyo kama ni mwanaume, kama ni mwanamke, atakufa haraka...
Dialysis hawezi kuiepuka, labda kama akibadilishiwa figo, Dialysis ni ya kusukuma siku tu ziende...duh, mgojwa anaogopa dyalisi ana hizi naweza nguvu za kiume zikafa, hajafikia stage hiyo ila an ahofu sana, sijui kwa sasa kama an aimamisha maana kumuuliza na shinwa ila ana hofu akifikia stage huyo na ni kijana wa miaka 25