LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Habari wana jamvi naomba msaada wenu kwa wale wanaojua Nina gari yangu Toyota Ipsum 2002 nikikanyaga kwa nguvu mafuta ili nikimbie baada ya muda sitakuta maji kwenye horse inayotoka kwenye mdomo wa rejeta kwenda kwenye injini na kwenye reserved tank ya maji pia. Lakini nikiendesha kawaida huku ikijichanga yenyewe wala hajaishi kabisa ila tu yanapungua kidogo.
1: Je hili ni tatizo na kama ni tatizo linasababishwa na nini?
2:Na je kama ni tatizo linasababishwa na nini?
3:Na je kama kuna mtu kashakumbana na ishu kama hii je uliitatua vipi.
Natanguliza shukrani
1: Je hili ni tatizo na kama ni tatizo linasababishwa na nini?
2:Na je kama ni tatizo linasababishwa na nini?
3:Na je kama kuna mtu kashakumbana na ishu kama hii je uliitatua vipi.
Natanguliza shukrani