Mkuu gari yangu ikiiingia gear inashutka nime Google ikasema nibadili transmission fluid nimefanya hivyo kwa muda wa siku tano sikuona hilo tatizo lakini leo limejirudia naomba ushauri.mkuu jaribu kufanya zoezi hili simamisha gari iwashe harafu kanyaga acceleretar rpm ifike mpaka kwenye 3 or 4 kwa kustukiza na kuachia huku mfuniko wa rejeta ukiwa umeufungua harafu angalia kama maji yataruka kwa kasi kupitia mfuniko wa rejeta.kama ndio basi celinder head gasket imeungua.
au jaribu kuangalia mfuniko wa rejeta kama uko sawa
Mkuu nitajaribu kufanya hivyo lakini pia juzi nilijaribu kuwasha gari ikawa ipo kwenye P then nikakanyaga mafuta kwa nguvu wakati huo huku kwenye exhaust kukawa kunatoka maji kadri anavyokanyaga ndivyo maji yanaruka akiachia hakuna maji na akikanyaga kidogo hakuna maji hii ni nini mkuu @LEGE
Mkuu nitajaribu kufanya hivyo lakini pia juzi nilijaribu kuwasha gari ikawa ipo kwenye P then nikakanyaga mafuta kwa nguvu wakati huo huku kwenye exhaust kukawa kunatoka maji kadri anavyokanyaga ndivyo maji yanaruka akiachia hakuna maji na akikanyaga kidogo hakuna maji hii ni nini mkuu @LEGE
Lege shughuli zako za ufundi unafanyia wapi.mkuu jaribu kufanya zoezi hili simamisha gari iwashe harafu kanyaga acceleretar rpm ifike mpaka kwenye 3 or 4 kwa kustukiza na kuachia huku mfuniko wa rejeta ukiwa umeufungua harafu angalia kama maji yataruka kwa kasi kupitia mfuniko wa rejeta.kama ndio basi celinder head gasket imeungua.
au jaribu kuangalia mfuniko wa rejeta kama uko sawa
Ok sasa hapa tatizo ni nini?au kipi kinasababisha maji haya kutokea huko?Ndio ulichokisema kuwa cylinder head gasket imeungua au? msaada wako na kama ndio hilo tatizo utatuzi wake ni upi? na gharama yake inaweza ikawa ni kiasi gani?na je Kama bado sipo fresh naweza kutembelea likiwa hivi hivi au ndo naababisha matatizo mengine? @LEGEhilo ndio tatizo mkuu why uendelee kuhangaika coz kwenye exhaust haipaswi yatoje maji zaidi ya moshi. inamaana hayo maji kwenye rejeta yanapotelea huko
mkuu hapo gasket imeungua ndio maana maji yanatoka kwenye exhaust.hapo nikufungua na kubadili nyingine.Ok sasa hapa tatizo ni nini?au kipi kinasababisha maji haya kutokea huko?Ndio ulichokisema kuwa cylinder head gasket imeungua au? msaada wako na kama ndio hilo tatizo utatuzi wake ni upi? na gharama yake inaweza ikawa ni kiasi gani?na je Kama bado sipo fresh naweza kutembelea likiwa hivi hivi au ndo naababisha matatizo mengine? @LEGE
Aisee hayaa mambo tuachie wataalamhilo ndio tatizo mkuu why uendelee kuhangaika coz kwenye exhaust haipaswi yatoje maji zaidi ya moshi. inamaana hayo maji kwenye rejeta yanapotelea huko