samamba oscar
Member
- May 16, 2017
- 20
- 4
Aise, Ila sijatumia dawa ya mafua kinachonipa hofu hayazibi pua wala kudondoka kiasi chakutumia dawa yapo kawaida tuMafua pia husababishwa na virus, lakini virus wa HIV ambao baadae husababisha mafua huweza kudumu kwa week mbili mfululizo wakati yale mengine ukitumia dawa mujarabu siku mbili au tatu huisha. Ama dalili zingine inategemeana na kinga yako ya mwili uimara wake. JITAHIDI KULA ALKALINE FOODS KUFANYA KINGA YAKO KUWA IMARA SIKU ZOTE.
Mafua yakawaida hudumu Kwa mda gani?Mkuu w engine wana immune system nzuri akipata hayo mafua wiki mbili baada ya hapo anadunda miaka 8 bila dalili yeyote. Lakini wakati huo ndiyo CD4 zinashuka. Anaweza kupata magonjwa nyemelezi kama TB.
Nimeikuta googleIyo research yako ya mafua umesoma wapi mkuu?
Afu mgonjwa kama uyo huwezi kumjua kwa macho
Usipotumia dawa sahihi hata miezi sita yanakaa. Suala muhimu ni kupata dawa sahihi basi.Mafua yakawaida hudumu Kwa mda gani?
Achana nayo, keep on searching ili upate data nzuri maana hiyo yote ni uongo mtupu.Nimeikuta google
Kumbuka mostly mafua ni viral causes, so hakuna dawa ya kuwaua, ivyo itategemea immunity ya mtu, mazingira mtu aliyopo (baridi/joto) au dawa za kuyatuliza ambazo mtu atazitumia kama vile izi Nasal decongestant or anti allergic.Mafua yakawaida hudumu Kwa mda gani?
Duh Asante bro kidogo nimehema maana Leo nisiku ya 9 bado na runny nose kikinipiga kibaridKumbuka mostly mafua ni viral causes, so hakuna dawa ya kuwaua, ivyo itategemea immunity ya mtu, mazingira mtu aliyopo (baridi/joto) au dawa za kuyatuliza ambazo mtu atazitumia kama vile izi Nasal decongestant or anti allergic.