kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Inafanyaje kazi.?Toka siku mimba kutunga....inakupa adi tar ya makadirio ya kujifungua,bila kusahau urefu na uzito wa kiumbe..
Itakua inaweza japo nahisi changamoto ni watoa huduma wetu , mimba ya mwez mmoja niliambiw inamiez mi2 na siku 1 , hivyo name nikabaku kua na swali kama lakoNatumai hamjambo humu ndani.
Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una muda gani wik ngap Au Miezi mingapi?
Je Ultrasound inasoma kuanzia Siku ya mwisho mwanamke kuziona siku zake Au toka siku ya mimba kutunga?
Itakua inaweza japo nahisi changamoto ni watoa huduma wetu , mimba ya mwez mmoja niliambiw inamiez mi2 na siku 1 , hivyo name nikabaku kua na swali kama lako
Kipimo kizur na cha uhakika kujua umri wa mimba n tarehe zako. Kama hukumbuki ndo tunatumia ultrasound. Ultrasound inachofanya inakadiria umri wa mimba kwa kutumia dimensions za kiumbe, ambapo kwa mimba changa inakadiria karibia na usahihi ukilinganisha na mimba kubwa. Watu wengi wanachanganya kwenye kutafsiri hivi vipimo.Yani hapa nina maswali mengi sana. Kwa sababu siku nazozijua mimi nimeambiwa tofauti kabisa. Mimba ya wiki 6 nimeambiwa Ina wiki 8 na masiku kadhaa
Mimi week 5 na siku kadhaa nimeambiwa week 8 na siku 1...Yani hapa nina maswali mengi sana. Kwa sababu siku nazozijua mimi nimeambiwa tofauti kabisa. Mimba ya wiki 6 nimeambiwa Ina wiki 8 na masiku kadhaa
Natumai hamjambo humu ndani.
Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una muda gani wik ngap Au Miezi mingapi?
Je Ultrasound inasoma kuanzia Siku ya mwisho mwanamke kuziona siku zake Au toka siku ya mimba kutunga?
Muone radiographer alie karibu yako atakupa daresay kwa uzuri....au ingia utubeInafanyaje kazi.?
Mkuu na mimi nimepata same issue. mimba ya miezi miwili naambiwa ina miezi mitatu sielewiItakua inaweza japo nahisi changamoto ni watoa huduma wetu , mimba ya mwez mmoja niliambiw inamiez mi2 na siku 1 , hivyo name nikabaku kua na swali kama lako
Wanaweza wakavunja ndoa za watu hawaMimi week 5 na siku kadhaa nimeambiwa week 8 na siku 1...
ok. nimekuelewaHuwa inatoa majibu ya kimakadirio sio sahahihi kwa 100% ndomana hata siku ya kujifungua huwa inatajwa kimakadirio
Wife nimempeleka leo, kafanya hicho kipimo kambiwa ina wiki 11.nakati mimi najua ni wiki 8...mpk nimehisi siyo yangu[emoji23][emoji23]... Na nimemwambia nitoka kazini tutalidadili hilo....Wanaweza wakavunja ndoa za watu hawa
wanaweza wakakufanya umuache mke bila kosa.Wife nimempeleka leo, kafanya hicho kipimo kambiwa ina wiki 11.nakati mimi najua ni wiki 8...mpk nimehisi siyo yangu[emoji23][emoji23]... Na nimemwambia nitoka kazini tutalidadili hilo....