Msaada :Majibu ya ultrasound

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
474
Reaction score
595
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private

Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI

Kuhusu ultrasound wakasema kuwa placenta(mfuko wa maji) imesogea karibu na mlango wa uzazi,ambao umefungwa hadi sasa, wakasema hiyo ni mbaya Sana kwa mjamzito inaweza sababisha matatizo ya Mimba

Mwenye kujua Haya mambo vizuri naomba anieleweshe vizuri Kama hicho kitu kina matatizo Kwasababu Mimi Najua kuwa kwa miezi sita mwili huwa unajiandaa kumtoa mtoto(kuzaliwa) Msaada tafadhali
 
Soma (google) placenta previa utaelewa tukianza kuandika itakuwa ndefu
 
Mkuu Dr ashakwambia ni tatizo na ni kweli ajakudanganya(ref placenta previa kama jamaa alivyokwambia apo juu) kama alikwambia ni vizuri ungemuuliza management au sidhani kama ajakwambia cha kufanya kuliko kuja kuuliza jf uku ambapo unaweza usipate jipo la uhakika, na kama ajakwambia rudi umuulize ilo tatizo management zake ni zipi ili mama na mtoto wawe salama wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…