Ha ha ha ha umetishayaani majina yao yenyewe ni laana tuu.. john joseph pombe, jokate, jack wolper, john shibuda,
labda umuite JOTI
HahahahaaaaaJukumu
Jokomwe
Jakamoyo
Jitwe
Jitu
Jela
Jamba
NB: Majina haya yana fit jinsia zote!
JohnPombeWandugu nayapenda sana majina yanayoanzia na j.hebu tupia la kike na lakiume.asanteni
Ka baby girl kangu kanaitwa hili jina, naomba sana kasiwe kapole aiseeJna ili anakua mpole sana na msaliti sanaa kwa mumewe.
JailesWandugu nayapenda sana majina yanayoanzia na j.hebu tupia la kike na lakiume.asanteni