Nini?Junior nala ni jina?
Juma, jamal, jayb, jalala, jaleel, jakaya,Janeth?
john,joseph,janeth jesca anza na hayo kwanzaWandugu nayapenda sana majina yanayoanzia na j.hebu tupia la kike na lakiume.asanteni
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Jukumu
Jokomwe
Jakamoyo
Jitwe
Jitu
Jela
Jamba
NB: Majina haya yana fit jinsia zote!
Jina lina laana hiliJerry murro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jina lina laana hili