Binafsi sina uhakika ingawaje nyoka wadogo ni moja ya misosi yake!Mtanisamehe nipo nje ya mada!
Nataka kufahamu huyo The Kori Bustard ndo yule aneyeuwa nyoka kwa miguu yake?kama siye naomba mwenye kumfahamu amtaje hapa.
Picha zipi tena ndugu?Bado hujatusaidia kama picha zao hakuna.
Oohoo kumbe zipo. Kwangu zilikuwa hazijafunguka.Picha zipi tena ndugu?
Basi nikawa na hofu kwamba labda nili-upload vibaya na kwahiyo hazionekani kwa wote!!Oohoo kumbe zipo. Kwangu zilikuwa hazijafunguka.