Msaada, majina ya waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano

jitupori

Senior Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
199
Reaction score
77
wakuu nimeingia mtandaoni na kukuta kuw majina ya kujiunga na kidato cha 5 tayari yameshatoka ila tatizo cm yangu hainauwez wa kufungua pdf. so naombeni mniangalizie jina hili tafadhali kama nalo limo katika orodha ya waliochaguliwa jina ni fadhili waida saulo
 

Kwa hiyo watafute palipoandikwa jitupori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…