Msaada majina ya waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2015/2016

Msaada majina ya waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2015/2016

cha ukweli

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
67
Reaction score
5
habari Ndugu! kwa yeyote aliyepata majina yawalio chuguliwa ualimu awamu ya pili 2015/2016 naomba anijulishe Ahsanten
 
Kapangwe na wewe huko!

Uliona wapi nomino inaandikwa kwa herufi ndogo?

Rubbish!

Mara nyingine Typing error hutokea wakati mtu anapoandika mada fulani humu ndani.
Mbona mmekaa tayari kuponda uandishi wa mtu kuliko kumsaidia shida yake???
Kama hujui ni vema ukae kimya tu!!!
 
habari Ndugu! kwa yeyote aliyepata majina yawalio chuguliwa ualimu awamu ya pili 2015/2016 naomba anijulishe Ahsanten

Unaposema hawamu ya pili je Hawamu ya kwanza ishatoka au ilitoka lini?
 
Jamani kuna wilaya moja ya BUHIGWE mkoani KIGOMA walimu tumeajiliwa lakini hatujapata Mshahara toka tulipo ajiriwa! Naombeni msaada nifanyeje ili nipate Mshahara wangu au niaxhe kazi?
 
Back
Top Bottom