HM Interior Designer
New Member
- Nov 12, 2017
- 3
- 0
natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks mkuuBei inasimama kwenye kitu kama TZS 1.5m. Wacheki iCare Technology wapo Dar-es-Salaam.
Unaweza kupitia Instagram page yao @icaretechnologytz_ kuona bidhaa walizonazo.
Recommendation: LG curved monitor, hii walikuwa nayo ni kali sana.
ngoja niwacheki shukrani mkuu
Pia wanapiga sana kibongo bongo ndio maana vyema ukanunue tu mitumba.Monitor zenye resoln kubwa bei huwa ni kisanga.
Kuna moja niliikuta kkoo ya lg,kuuliza nikaambiwa 1.4 duh.hapo bado mashine na utumbo mwingine.