The Hidden JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 246 Reaction score 102 Apr 28, 2017 #1 View attachment 502250Habari wakuu!!!? Naomba aliye na uzoefu anisaidie makadirio ya gharama inayoweza hitajika kujenga hiyo nyumba(Pichani) nchini hapa hasa Mkoani Mwanza
View attachment 502250Habari wakuu!!!? Naomba aliye na uzoefu anisaidie makadirio ya gharama inayoweza hitajika kujenga hiyo nyumba(Pichani) nchini hapa hasa Mkoani Mwanza
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Apr 28, 2017 #2 Subiri wataalamu wa Archtecture waje wakudondoshee data mubashara