Msaada: Makadirio ya kufanya skimming na kupaka rangi

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Wana-JF Salaam!

Ninaomba kujuzwa mahitaji na makadirio ya kufanya skimming na kupiga rangi nyumba ya vyumba vitatu vya kulala sitting na dinning room, jiko na stoo na choo/bafu public.

Kimsingi ni nyumba ya kawaida.

Makadirio yawe ktk mpangilio ufuatao:-

1. Mahitaji na gharama za skimming, pamoja na gharama za ufundi

2. Mahitaji na gharama za kupaka rangi, pamoja na gharama za ufundi.

Kwa waliofikia level hii ya ujenzi na hata mafundi tunaomba uzoefu wenu.
 
Hebu mpigie huyu Fubdi Hussein atakukadiria yote hayo tena bure na huwa ni fundi mzuri sana na atakufanyia kazi yako vizuri sana kwa gharama nafuu sana hautaamini. nakuhakikishia ni fundi mzuri na si mbabaishaji.

0714 079446
 
Hapo andaa yafuatayo:
1. Msasa mita 20
2. Gypsum powder mifuko 10 kwa ajili ya skimming ndani
3. White cement mifuko 4 kwa ajili ya skimming nje
4. Rangi ya maji ndoo 5 kwa ajili ya undercoat (ndani na nje)
5. Rangi ya ndani (Vinyl Silk) ndoo 4
6. Rangi ya nje (Weather Guard) ndoo 3
7. Mafuta ya taa lita 10
8. Fascia board hupaki rangi?
9. Kwenye vyoo umeweka vigae ukutani?
10. Umeweka ceiling board au gypsum?kama ni ceiling board, imeshapakwa rangi?
NB:
1: NDOO ZA RANGI NI ZILE ZA LITA 20
2: BEI YA HAYO MAHITAJI INATEGEMEA MAHALI ULIPO
3: GHARAMA YA UFUNDI NI 35% YA BEI YA MATERIAL
4: KWENYE MADIRISHA UMEWEKA GRILL AU BADO?KAMA UMEWEKA, ZIMESHAPAKWA RANGI? KAMA BADO HAZIJAPAKWA, UNA MADIRISHA MANGAPI?
 
Duh!! Asante sana ndugu yangu. Ngoja nijipange sasa.

Salute sana
 
Kwa wanao hitaj decorations ka hiz naomba mnichek jaman +255718930097
 
Attachments

  • 1451112256254.jpg
    1451112256254.jpg
    47.1 KB · Views: 2,974
Kwa wanao hitaj decorations ka hiz naomba mnichek jaman +255718930097

Duh finishing nzuri,ila hizo rangi daah! Hukumshauri huyo mteja wako,rangi za bar na club hizi,au ni gest hiyo mkuu
 
Me sihusiki na rangi hata hivyo akati naenda kufanya Kaz alikua tayar kapaka rangi nyumba yake
 
Mr aluminium glass nipo hapa,dirsha, mlango, kabat za duka la dawa kwa ujenz bora jenga nas +255 655 069 041
 
Tunapima ukubwa wa nyumba kwa square metres.. Kila square metre nitakufanyia kwa 15000/- materials juu yangu...
 
Hapo andaa yafuatayo:
1. Msasa mita 20
2. Gypsum powder mifuko 10 kwa ajili ya skimming ndani
3. White cement mifuko 4 kwa ajili ya skimming nje
4. Rangi ya maji ndoo 5 kwa ajili ya undercoat (ndani na nje)
5. Rangi ya ndani (Vinyl Silk) ndoo 4
6. Rangi ya nje (Weather Guard) ndoo 3
7. Mafuta ya taa lita 10
8. Fascia board hupaki rangi?
9. Kwenye vyoo umeweka vigae ukutani?
10. Umeweka ceiling board au gypsum?kama ni ceiling board, imeshapakwa rangi?
NB:
1: NDOO ZA RANGI NI ZILE ZA LITA 20
2: BEI YA HAYO MAHITAJI INATEGEMEA MAHALI ULIPO
3: GHARAMA YA UFUNDI NI 35% YA BEI YA MATERIAL
4: KWENYE MADIRISHA UMEWEKA GRILL AU BADO?KAMA UMEWEKA, ZIMESHAPAKWA RANGI? KAMA BADO HAZIJAPAKWA, UNA MADIRISHA MANGAPI?[/QUOTE
 
Wanajf Salaam!!

Ninaomba kujuzwa mahitaji na makadirio ya kufanya skimming na kupiga rangi nyumba ya vyumba vitatu vya kulala sitting na dinning room, jiko na stoo na choo/bafu public.

Kimsingi ni nyumba ya kawaida.

Makadirio yawe ktk mpangilio ufuatao:-

1.Mahitaji na gharama za skimming, pamoja na gharama za ufundi

2.Mahitaji na gharama za kupaka rangi, pamoja na gharama za ufundi.

Kwa waliofikia level hii ya ujenzi na hata mafundi tunaomba uzoefu wenu.
Habar natumai ni mzima wa afya katika sekta ya upakajirangi zamajumbani na makadilio naweza kukusaidia maana watu wengi huwa wanaogopaga gharama wakizan hawatoweza kumudu sasa bac kwa upandende wako naweza kukusaidia kwa makadilio ya kawaida kwa kila chumba kimoja hutumia mifuko miwili ya wallputt yaan ni nikimaanisha juu ya dari na kutazake nilitamani nikuorodhoshee vitu vyotu ilibuwena amani na ninielewe zaid lani naona itachukua muda zaid ila kwa maelezo zaid unaweza kunitafuta kwa namba hii 0693311454
 
Hapo andaa yafuatayo:
1. Msasa mita 20
2. Gypsum powder mifuko 10 kwa ajili ya skimming ndani
3. White cement mifuko 4 kwa ajili ya skimming nje
4. Rangi ya maji ndoo 5 kwa ajili ya undercoat (ndani na nje)
5. Rangi ya ndani (Vinyl Silk) ndoo 4
6. Rangi ya nje (Weather Guard) ndoo 3
7. Mafuta ya taa lita 10
8. Fascia board hupaki rangi?
9. Kwenye vyoo umeweka vigae ukutani?
10. Umeweka ceiling board au gypsum?kama ni ceiling board, imeshapakwa rangi?
NB:
1: NDOO ZA RANGI NI ZILE ZA LITA 20
2: BEI YA HAYO MAHITAJI INATEGEMEA MAHALI ULIPO
3: GHARAMA YA UFUNDI NI 35% YA BEI YA MATERIAL
4: KWENYE MADIRISHA UMEWEKA GRILL AU BADO?KAMA UMEWEKA, ZIMESHAPAKWA RANGI? KAMA BADO HAZIJAPAKWA, UNA MADIRISHA MANGAPI?
Duh finishing ni gharama kwa bei ya leo ni sh. ngapi?
 
Usitishike boss,hayo mandoo ya rangi kajiandikia tu sidhani hata kama yeye anaweza tumiaa vinyl silk ndoo 4 za 20liters kwa nyumba ya kawaida hiyo ya vyumba vitatu.
 
Hapo andaa yafuatayo:
1. Msasa mita 20
2. Gypsum powder mifuko 10 kwa ajili ya skimming ndani
3. White cement mifuko 4 kwa ajili ya skimming nje
4. Rangi ya maji ndoo 5 kwa ajili ya undercoat (ndani na nje)
5. Rangi ya ndani (Vinyl Silk) ndoo 4
6. Rangi ya nje (Weather Guard) ndoo 3
7. Mafuta ya taa lita 10
8. Fascia board hupaki rangi?
9. Kwenye vyoo umeweka vigae ukutani?
10. Umeweka ceiling board au gypsum?kama ni ceiling board, imeshapakwa rangi?
NB:
1: NDOO ZA RANGI NI ZILE ZA LITA 20
2: BEI YA HAYO MAHITAJI INATEGEMEA MAHALI ULIPO
3: GHARAMA YA UFUNDI NI 35% YA BEI YA MATERIAL
4: KWENYE MADIRISHA UMEWEKA GRILL AU BADO?KAMA UMEWEKA, ZIMESHAPAKWA RANGI? KAMA BADO HAZIJAPAKWA, UNA MADIRISHA MANGAPI?
Nimeipenda
 
Back
Top Bottom