Msaada: Makadirio ya kuinua nyumba.

Msaada: Makadirio ya kuinua nyumba.

tujebway

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
35
Reaction score
24
Nataka kujua msingi hadi kuezeka kuweka fremu za chuma, milango ya muhimu tu na kuweka choo cha kawaida. Nyumba iwe na sebule, jiko ma two bedrooms. Ukiacha na finishing zote. Naongelea ujenzi wa mtanzania wa kawaida asoweza kujenga kwa mkupuo hadi all finishing. Please be kind.
 
kama kiwanja unacho, na hakina shida ya kukichonga/kukisawaziza , 25m-30m inakutoka kabisa
 
Unaweza toa description ya costs na materials na labour?.
 
Back
Top Bottom