Msaada makadirio ya paving blocks

Fluconazole

Member
Joined
Jan 12, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
 
Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
Mita ngapi hujaweka, vipi plot iko wapi tuje hapo tupige hesabu.
 
50 blocks per square metre
Ili kusema kama ni 30, 40, 50, 60 blocks n.k. per square metre ni muhimu kwanza kujua size ya hizo paving blocks kwani hutofautiana. Lakini kama ni hizi blocks ambazo zimezoeleka kuwekwa na sehemu kubwa ya watanzania basi ni kama mdau alivyoeleza hapo juu yaani 50 pcs per square metre. Kwa hiyo piga hesabu ya square metres za eneo lako unalotaka kuweka hizo blocks kisha zidisha na 50 blocks utapata jumla ya blocks zitakazohitajika.
 
Na bei inakwendaje kwa block moja au per square meter?
 
Price:
Made in Tz :18,000-16,000 TZS per square meter
Made in Nje: 28,000-25,000TZS per square meter
 
Wasiliana na Abraar Bricks 0625249605
 

Attachments

  • rs=w_364,m,cg_true (1).jpeg
    6.1 KB · Views: 97
Hivi haiwezekani kupima eneo la block na eneo la uwanja wako, kisha ukachukua eneo la uwanja na kugawa kwa eneo la block?
 
Wasiliana na Abraar Bricks 0625249605 kwa paving bricks (blocks) (slabs) zenye ubora wa hali ya juu.

Taasisi za kidini na kijamii zina punguzo maalum.

 
Nina Square meter 4000 nahitaji msaada wa makadirio...ubora wa kawaida ni kwenye shule naweka.

Inaweza chukua gharama gani gani?

Na nikinunua mashine nitengeneze mwenyewe?
 
Nina Square meter 4000 nahitaji msaada wa makadirio...ubora wa kawaida ni kwenye shule naweka.

Inaweza chukua gharama gani gani?

Na nikinunua mashine nitengeneze mwenyewe?
Wasiliana nasi. Abraar Bricks, Nyumba kwa wote. Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

Abdul Ghafur 0625249605

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…