Msaada Makadirio ya ujenzi wa nyumba hii

Nyumba nzuri ila ongeza hata room moja,ninatumaini hii ikiisha soon utaanza kuishi na mwanamke na baada ya muda si mrefu utakuwa na mtoto,kwahiyo ongeza chumba kimoja ili baadaye mtoto aweze angalau kulala na dada wa kazi...
 
Nyumba nzuri Sana kwa Kuanzia maisha.

Nami imenivutia Sana...

Kwa nyuma ipoje? zinaonekana picha za mbele tu.

Nami nataka kujenga nyumba ndogo kama hiyo, lakini naongezapo self bedroom moja na study room.

street_child ramani umepata wapi?

Nahitaji:
  • Master bedroom
  • Self bedroom
  • Sitting/Living room
  • Jiko
  • Dinning room
  • Study room
  • Public toilet (au nafikiria public toilet iwe nje ya nyumba?)

Mkuu stephot , hapo vipi? Ni kwaajili ya bachelor life.
 
Kitu hatari jamani tusaidieni gharama kwa kiwanja flat mil 12 najenga kama hii japo nipate pakugegedea warembo maana hapa hakuna mrembo akaingia na kutoka bila kuvua chupi
 
Nyumba nzuri ila ongeza hata room moja,ninatumaini hii ikiisha soon utaanza kuishi na mwanamke na baada ya muda si mrefu utakuwa na mtoto,kwahiyo ongeza chumba kimoja ili baadaye mtoto aweze angalau kulala na dada wa kazi...
Nimepokea ushauri mkuu, nitalitafakari ilo
 
Aisee nii ameifanya Architecture mmoja jamaa makini sana aisee, nitaweza kukuunganisha nae mkuu. Ni mtu safi sana kiukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…