Msaada makisio ya Gharama za Ufundi kujenga Superstructure Tofali 3700 kutoka kwenye Beam(Mkanda wa

Msaada makisio ya Gharama za Ufundi kujenga Superstructure Tofali 3700 kutoka kwenye Beam(Mkanda wa

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
WanaJF naombeni Msaada,nimeshajenga Msingi nataka kupandisha nyumba yangu hadi juu kozi kumi kufunga Mkanda na kuweka kozi 3 juu ya Mkanda(Lenta) wa kusukiwa nondo 4,makisio ya matofali ni 3700,natarajia kumtumia Fundi wa kawaida Technician ila sina ujuzi wa gharama za Ufundi naogopa kuingiliwa,nilikuwa naomba mnipe mwanga kwa gharama za kawaida za kibongobongo lakini zenye ubora na tija natakiwa kumlipa huyu Fundi kwa kazi hiyo Tsh ngapi?Naombeni mnisaidie kunipa Mwanga wakuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom