navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Ooh sawaWe wapelekee, utapigwa picha nyengine na wao na ndiyo itakayotumika
Ofisi iko mbali, ndio maana niltaka kujua kabla sijaenda ili kama kuna cha kufanya nifanye mapema ili nipunguze cost za kwenda na kurudi tenaVizuri ukajue ofisi husika
Shukrani mkuuMfumo haukuruhusu kufanya marekebisho, itume kama ilivyo marekebisho watafanya wao.
Picha iliyoko kwenye fomu siyo itakayotumika kwenye Pasi ya kusafiria, watapiga nyingine hapo hapo itakayojumiisha mboni za macho yako na alama za vidole.
Kila lakheri!.