Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio unanunua ukitumie kwa kazi gani? maana ukijua matumizi yako ndio utajua unahitaji chenye uwezo kiasi ganiLengo ni kununua hicho chombo gari au pikipiki. Mfano Mr A ananiuzia mimi Mtzedi pikipiki .
Peleka namba za chombo TRA ili kupata hakika/uthibitisho kuwa ni chombo halali na mmiliki ndiye.Kabla yakununua lazima ujiridhishe kuwa chombo husika ni Mali ya muuzaji, upewe kadi ya chombo na upate barua ya mauziano toka ofisi ya serikali ya mtaa, polisi, mahakamani au kwamwanasheria. Vile vile lazima familia ya muuzaji ihusishwe Kama mke au watoto au ndugu yeyote.