Msaada manunuzi ya Lcd Ya Samsung J7 Pro kwenye site ya Aliexpress.

wakutafuta

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
239
Reaction score
211
Natakaa kuagiza LCD hii hapa US $25.88 30% OFF|5.5
ni mara yangu ya kwanza kufanya manunuzi kwenye mtandao huu pia kama kuna option naweza kupata kwa hapa Tanzania kwa bei nafuu na nikizuri mnisaidie.
 
Cha AMOLED kwa bei hyo huwezi pata bongo hata kwa dawa. Bongo unaweza pata cha LCD au AMOLED ya low resolution kwa laki 1 au laki na nusu. Kwa used unaweza bahatisha hyo bei ya 60,000 ila sio uhakika sana.

Ukiagiza Aliexpress haina shida kitafika vizuri tu ndani ya week 3 hadi mwezi na nusu. Kisipofika au kikifika kibovu wanarudisha hela yako.

Ukiagiza unaanglia tracking kwenye app ya Aliexpress au 17track. Kikifika Posta itakuambia na uaenda kukichukua. Kwa bei hyo sidhani kma watakukata kodi ila hata wakitaka kukukata kodi itakua 15% to 17% ya bei uliyonunulia. Hvyo ni kma tsh 9,000 - 10,500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Kiongozi kwa ushauri wako na maelezo yakinifu ubarikiwe sana.
 
Usiwe na hofu sikuhzi posta wameacha wizi na hata kikipotea kitu sikuhz unapata hela yako vizuri tu. Mwaka jana niliagiza vitu vi 4 na kimoja tu ndio hakikufika ambacho nili rudishiwa hela huko Aliexpress. Na kimoja tu ndio nilidaiwa kodi, ilikua ni display ya laptop nilinunua $100.
Screenshot_20210216-141843.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe na hofu sikuhzi posta wameacha wizi na hata kikipotea kitu sikuhz unapata hela yako vizuri tu. Mwaka jana niliagiza vitu vi 4 na kimoja tu ndio hakikufika ambacho nili rudishiwa hela huko Aliexpress. Na kimoja tu ndio nilidaiwa kodi, ilikua ni display ya laptop nilinunua $100.View attachment 1703704

Sent using Jamii Forums mobile app
asante kiongozi kwa kunitoa hofu wewe unatumia sanduku lako binafsi la posta ama unatumia laa wilaya au huduma ya smartposta.
 
Situmii sanduku la posta. Mm nimeandika tu address yangu ya Dar Es Salaam. Mzigo ukifika naenda posta kuuchukua. Unaenda posta pale ofisi ya EMS unamuuliza yule mlinzi aliyekua pale anakupa maelekezo yote ya jinsi ya kuchukua mzigo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Situmii sanduku la posta. Mm nimeandika tu address yangu ya Dar Es Salaam. Mzigo ukifika naenda posta kuuchukua. Unaenda posta pale ofisi ya EMS unamuuliza yule mlinzi aliyekua pale anakupa maelekezo yote ya jinsi ya kuchukua mzigo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa sawa kiongozi nashukuru kwa hilo
 
Usiwe na hofu sikuhzi posta wameacha wizi na hata kikipotea kitu sikuhz unapata hela yako vizuri tu. Mwaka jana niliagiza vitu vi 4 na kimoja tu ndio hakikufika ambacho nili rudishiwa hela huko Aliexpress. Na kimoja tu ndio nilidaiwa kodi, ilikua ni display ya laptop nilinunua $100.View attachment 1703704

Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi huwa wanaikokotoa vipi? Yaani ni asilimia ngapi ya mzigo?
 
Back
Top Bottom