Msaada mapishi ya kuku

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
naomba msaada juu ya kumuandaa kuku na viungo gani vya kumuweka, nataka kumkaanga. ahsante
 
Kama ni kuku mzima fanya hivi:
Mkate vipandepande muwekee kitunguu saumu kijiko kimoja cha supu kilichotwangwa,pilipili manga nusu kijiko cha chai,chumvi,ndimu.Muache masaa kadhaa viungo vikolee.Kicha mkaange.
 
asante sana
 
Kwa we mswahili nunua kuku mzimzito. Kata vipande. Tupia kwenye jiko bila mafuta.kaanga na mafuta yake mpk awe Brown. Tupia ginger&garlic,Tupia kitunguu. Hoho,carrot,karanga kidogo Tupia nyanya hasa tomato paste.acha nyanya iive kiaina Kisha weka maji kidogo Ichemke kidogo mpk upate mchuzi mzito.
 
babukijana mchuzi wa nini tena mwenzako anataka wa kukaanga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…