Wakuu kunawakati katika zunguka zunguka za kazi nilipata kukaa Kagera kwa miezi kadhaa, nilitokea kupenda sana zile ndizi zao wanaita MATOKE
Naomba kama kuna mtaalamu anielekeze namna ya kupika yakiwa na mchangnyiko wa Sato au samaki yeyote au nyama na mchanganyiko mwingine, maana nilikuwa nakula mara nakuta maharage kwambali nyanya chungu, mboga mboga nk