Msaada: Marejesho ya HESLB

Curious Naturally

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
528
Reaction score
523
Wakuu, naamini mpo wazima.
Niende moja kwa moja kwa nachoomba msaada.
Naomba kuuliza,
Je, marejesho ya Loan board kwa sisi tuliokuwa na,mkopo enzi tukiwa chuo yanaanza kulipwa mda gani baada ya kumaliza?
For instance, umemaliza mwaka jana, then ukapata ajira mwaka huo huo, unapaswa kuanza kulipa tangia uanzapo kazi au ni baada muda flan ambao upo?

pia, ningependa kujua ni %ge ngapi ya mshahara ambayo inakatwa kwa mujibu wa sheria.
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
 
unaanza kulpa one year baada ya kuajriwa, km nilvyoambiwa na wadau.
 
Walioanza kulipa wakuje hapa kutoa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…