Wapendwa poleni na hongereni kwa majukum....
Wadau naomba mnisaidie upatikanaji wa mashariti haya na gharama zake kwa mtaji wa million mbili(2M)
1. BARCODES YA BIDHAA
2. TRA RECIT
3. LESSEN YA BIASHARA
4. TIN YA BIASHARA....
Natanguliza shukulani wadau!!!