Msaada: Masharti ya pass za chini za kujiunga na kozi ya cheti ya Famasia

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,175
Reaction score
2,294
Nina kijana wangu anataka kujiunga na kozi ya famasia ngazi ya cheti. Ana kemia - D, Bailojia - C na fizikia- F. Je anaweza kujiunga na kozi hiyo ngazi ya cheti? Kama likitupiwa karatasi toka wizara ya elimu kuhusu minimum qualification za kujiunga na kozi hiyo itapendeza sana.

Natanguliza shukurani zanngu.
 
Hapo Kwenye Fizikia Hapo Duuuh Anyway Jaribu Privatee
 
Mathematics anangap
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Kwenye Fizikia Hapo Duuuh Anyway Jaribu Privatee

Asante kwa ushauri, nami wasiwasi wangu ni hapo kwenye Fizikia. Tatizo la vyuo vya private vinachukua tu bila kukuambia ukweli, baada ya kumaliza kozi ndio unaambiwa na wizara kuwa hukuwa na vigezo vya kusoma kozi hiyo. Hiyo ilinitokea kwa kijana wangu mwingine ktk chuo cha ualimu Iringa. Nimekuwa muoga sana na hawa private kwani wanataka ada tu bila kufikiri jinsi mazingira hayo yatavyomuathiri mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…