nunua brand yoyote kutoka ulaya au marekani nimesahau majina yao, pia mashine zinazotoka south afrika zinadumu zinaitwa mac adams. ila tofaut ya bei ni mbingu na ardhi mf, dough mixer ya italy ya kilo 12 tu ni 6.5m wkt ya kichina ni 2m, oven deck3 yenye sinia 3 macadams ni 13m wkt mchina havuki 7m
duka lipo mitaa ya makumbusho
lkn ukipata mtu mzur anaweza kukutafutia vya kichina vyenye ubora wa kutosha na kupiga kaz nzur bila shida.
karibu