Msaada, Mashine ya Embroidery Vichwa Vitatu

Msaada, Mashine ya Embroidery Vichwa Vitatu

idtech

Senior Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
185
Reaction score
482
Kwema wakuu?

Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu.

Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu?

Kwa maana nyingine naulizia duka linalouza mashine kwa hapa Dar.

Asanteni
 
Back
Top Bottom