Msaada: Mashine ya kusaga karanga inayotumia umeme

Msaada: Mashine ya kusaga karanga inayotumia umeme

Bama-29

New Member
Joined
May 27, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Naomba mwenye uwelewa wa zinapopatikana mashine za kusaga karanga kwa ajili ya kupikia groundnut zlzotenegenezwa na sido anijulishe mimi niko mwanza, ahsanten.
 
Coffee grinder,kinu,jiwe la kusagia,chupa n.k. zote hizi ni mashine kuhusu sido watembelee kama una plans wanaweza kukutengenezea hata kama hawana ila kwa urahisi coffee grinder inafanya kazi yako
 
Kuna wachina wanazo pale millennium business park bei inaanzia 1,800,000 kama sijakosea na uenda imepanda kutokana na kushuka kwa tshs
 
Coffee grinder,kinu,jiwe la kusagia,chupa n.k. zote hizi ni mashine kuhusu sido watembelee kama una plans wanaweza kukutengenezea hata kama hawana ila kwa urahisi coffee grinder inafanya kazi yako
Kwa mwanza sido naweza wapata mtaa gani mkuu?
 
Kwa mwanza sido naweza wapata mtaa gani mkuu?

[h=5]MWANZA[/h] [TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="width: 40%, bgcolor: #eeeeee"]Person to contact:[/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"]Regional Manager[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Address:[/TD]
[TD]P.O. Box 1509[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee"]Telephone No:[/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"]+255-28-2570062[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mobile:[/TD]
[TD]+255-784-285835[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eeeeee"]E mail:[/TD]
[TD="bgcolor: #eeeeee"]mwanza@sido.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Region:[/TD]
[TD]Mwanza - Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

http://www.sido.go.tz/UI/Offices.aspx
 
Kama ni kwaajili ya large amount nenda sido watakupa mifano.

Ila kwa small scale tumia hata brenda
 
Back
Top Bottom