minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Habari ndugu wana janvi, kwa mwenye ufaham kuhusu mashine za kutengeneza sabuni za mche naomba anijuze upatikanaji wake pamoja na bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi kutengeneza home based soap ni legal
mbona sido wanazo wewe usihangaike
sijajua gharama yake, lakii unaweza kuwauliza hawana shida wale.
mkuu nimeku pm ili jamaa anipigie,mpaka sasa hajapiga.ukiona gharama kubwa ni pm namba yako nikuungishe kwa mtu akuelekeze jinsi ya kutengeneza sabuni bila kutumia mashine na zinakuwa nzuri tu