Msaada: Mashine yangu imenywea sana zaidi ya kibamia

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Habari za mida hii wazee wa MMU

Kama mada inavyojieleza

Hili tatizo linaibuka Mara kwa Mara

Wiki iliyopita nlikutana na demu wangu ni dogo tu wa miaka 19 na ndo nlimtoa bikra,nlipiga sana game hadi mtoto akagoma kuendelea

Nlipiga goli 2 ila hili la 2 nlichukua muda mrefu sana kukojoa

Sasa dushelele langu naona limenywea na halichangamki ovyo(kudinda dinda) cha ajabu nikikutana na yule binti tukitembea road mashine inasimama mbaya

Naombeni ushauri jamani nifanyaje huu Mkuyati uwe mkubwa hata pale isipokua imedinda

Thank you in advance.
 
aisee mtoto bikra **** haidindi mungu akupe nn? sasa
Mkuu soma vizuri,nikiwa na mtoto hata tukitembea barabarani mashine inajisimamia tu bila taarifa,inshu ni kwamba sometimes inanywea sana
 
Yaan dushe iwe kubwa hata km haijadinda? Itakua dem ana K kubwa unaona haimtoshi
 
Acha kwanza sigara kali
 
Mleta uzi kashindwa kuuweka vizuri.
Ni kwamba kuna wanaume Dushele ikiwa imelala inakua ndogo sana ila ikisimama inaongezaka ukubwa( binafsi nipo kwnye hili kundi)
Wengine hua na Dusheke kubwa hata likilala lakini likisimama hua vilevile kwa size ila tu mishipa hua strong.
USHAURI
As long as inasimama na unapiga show usifadhaike sana na udogo pindi ikilala.
 
Ebu weka picha tuone, ili tukushauri vyema
 
Yote sababu ya woga wa kutoamini kwa kweli ninae ndo usababisha hayo,wengi uwatokea tu cha msingi jiamini hali hyo uwa inapotea.
 
Chukua
Pilipili hoho robo,
Pilipili boga 2
Pilipili manga kijiko kimoja.
Tanga wizi kidogo, saga na embe mbichi 2 zile kubwa, kunywa vijiko viwili kwa siku, japake kijiko kimoja kabla ya kulala.

Dawa hii ni kurudisha hali ya kawaida na kuwa I mara, muda wa siku 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…