Msaada: Mashine za kuamua alizeti

BOSHOA

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
68
Reaction score
7
Habari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika biashara hiyo ila sina details zake.
Msaada tafadhali
Nawasilisha
 
Unaweza tembelea Sido kwa mkoa uliop ukaona sample mbali mbali. Pia unaweza nicheki kwenye:0713-039875 kama utahitaji msaada zaidi, ikiwemo business plan ya biashara ya Alizeti.
 
edit
kukamua au sio, nenda singida mjini kuna viwanda vidogo vidogo vingi sana kwa hiyo mambo, nahisi utaona na kujifunza mengi zaidi ya hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…