Msaada: Mashine za kukamulia Juice ya Miwa

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari wadau?

Naomba kujua Kuhusu:

*Aina za mashine hizo
*Bei zake
*Upatikanaji wake(Mahali zinapopatikana)
*Faida zake Mfano (kwa wiki mpaka mwaka)

n.k n.k

Hasa kwa mkoa/jiji la Dar es salaam na morogoro.
Natanguliza shukrani
 
1: aina
za tz na za nnje kama india.
2: za tz zinapatikana gerezani na sidi za nnje hadi india
3: mara nyingi za tz zinakuwa na vyuma dhaifu na kukatika mara kwa mara.na bei ni kati ya 1 - 1.5M
Na za nje zipo dhaifu bei ni 1m na imara.ni 3-7M.

4: faidi kamili ni kati ya 20000/25000 kwa kila korja(miwa 20) ambapo kwa siku za jua kali unauza hadi 10korja.

Call 0779420000 .
 

So zipi ni bora na bei yake??? & inayotumia umeme and manual pale umeme unapokatika bei yake ikoje mkuu

Nami nigeoenda kujua upatikanaji wake niko mwanza
 
Mimi ninayo ina guarantee ya miaka mitatu toka kiwandani india. Nauza 7m nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…