Msaada maskio yangu yanatoa uchafu mwingi na harufuu

Msaada maskio yangu yanatoa uchafu mwingi na harufuu

tajiri wa mwanza

Senior Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
138
Reaction score
226
Jaman nna tatz wana jamvi
IMG_20170414_124134.jpg
maskio yngu yanatoa uchafu wa majimaji alafu una harufu mbaya
 
Pole aisee duh halafu punguza kukubali kulambwa maskio wakati wa game wengine hawajui kubalance mate wanakuwekea mimate yenye chakula mbali mbali lazima upate shida mkuu .. inayo bacteria nahisi ni fungus aisee
Yan miss chagga: ingekuwa mambele huko ungepewa hats degree ya kujitambua
 
unaumwa acute/chronic otitis media, kama unuwezo muone ENT specialists
Safi kabsa hyo ni otitis media inabid apate Ceftriaxone inj 1g stat na ameze Amoxycillin kwa siku 10 itaisha hyo kitu
 
Back
Top Bottom