Msaada: Masoko y nguo za mitumba Kenya

Msaada: Masoko y nguo za mitumba Kenya

Baba Jazey

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
500
Reaction score
556
natumaini ni wazima wa afya njema, naombeni kujua kwa kenye ni sehem gani naweza pata nguo za mtumba na viatu iliniweze kuzileta Tanzania kwa ajili ya biashara. ndugu zetu wakenya, msaada wenu ni muhim sana. natanguliza shukran
 
n
nashukuru kwa msaada wako. na je soko ni kila siku au kuna siku maalumu?

Soko ni la kila siku, ila wafanyabiashara wengi hufungua bidhaa mpya Jumanne na jumamosi (Ambazo zilikuwa siku maalumu za soko zamani). Kama ni wa kufuata viatu na nguo, hakikisha umefika pale asubuhi mapema (Saa kumi na mbili hivi) ndio utapata bidhaa bora. All the best.
 
Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu, kwa ushauri zaidi aende Nairobi kama yupo mikoa Jirani mfano Mwanza, Mara, Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Vinginevyo afikirie kuhusu gharama za usafiri kwanza.
 
Wana page zao facebook,watafute utapata bei zao na physical address zao na pia mawasiliano
 
n
Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu, kwa ushauri zaidi aende Nairobi kama yupo mikoa Jirani mfano Mwanza, Mara, Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Vinginevyo afikirie kuhusu gharama za usafiri kwanza.
nashukuru sana mimi nko arusha, kama unamtu unamjua unaweza niunganisha?
 
Back
Top Bottom