Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
nashukuru kwa msaada wako. na je soko ni kila siku au kuna siku maalumu?Nairobi-Gikombaa
n
nashukuru kwa msaada wako. na je soko ni kila siku au kuna siku maalumu?
Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu, kwa ushauri zaidi aende Nairobi kama yupo mikoa Jirani mfano Mwanza, Mara, Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Vinginevyo afikirie kuhusu gharama za usafiri kwanza.Soko ni la kila siku, ila wafanyabiashara wengi hufungua bidhaa mpya Jumanne na jumamosi (Ambazo zilikuwa siku maalumu za soko zamani). Kama ni wa kufuata viatu na nguo, hakikisha umefika pale asubuhi mapema (Saa kumi na mbili hivi) ndio utapata bidhaa bora. All the best.
nashukuru sana mimi nko arusha, kama unamtu unamjua unaweza niunganisha?Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu, kwa ushauri zaidi aende Nairobi kama yupo mikoa Jirani mfano Mwanza, Mara, Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Vinginevyo afikirie kuhusu gharama za usafiri kwanza.
kama unawajua waweza niunganisha nao?Wana page zao facebook,watafute utapata bei zao na physical address zao na pia mawasiliano
kama una account facebuuk,ni rahisi tu,google,mitumba gikomba itakuletea result,unachagua mwenyewe kisha unawalikekama unawajua waweza niunganisha nao?